12 Wao wakaitikia na kusema, “Tutawarudishia na hatutawadai chochote. Tutafanya kama ulivyosema.” Nikawaita makuhani mbele, na viongozi wote wakaapa mbele ya makuhani kufanya kama walivyoahidi.
Kusoma sura kamili Nehemia 5
Mtazamo Nehemia 5:12 katika mazingira