Nehemia 5:7 BHN

7 Nikaamua kuchukua hatua. Nikawashutumu wakuu na maofisa, nikawaambia, “Mnawatoza riba ndugu zenu.”

Kusoma sura kamili Nehemia 5

Mtazamo Nehemia 5:7 katika mazingira