18 wa ukoo wa Adonikamu: 667;
19 wa ukoo wa Bigwai: 2,067;
20 wa ukoo wa Adini: 655;
21 wa ukoo wa Ateri (ambao pia unaitwa Hezekia): 98;
22 wa ukoo wa Hashumu: 328;
23 wa ukoo wa Bezai: 324;
24 wa ukoo wa Harifu: 112;