23 wa ukoo wa Bezai: 324;
24 wa ukoo wa Harifu: 112;
25 wa ukoo wa Gibeoni: 95;
26 Watu wa miji ifuatayo pia walirudi: Wa mji wa Bethlehemu na Netofa: 188;
27 wa mji wa Anathothi: 128;
28 wa mji wa Beth-azmawethi: 42;
29 wa miji ya Kiriath-yearimu, Kefira na Beerothi: 743;