33 wa mji mwingine wa Nebo: 52;
34 wa mji mwingine wa Elamu: 1,254;
35 wa mji wa Harimu: 320;
36 wa mji wa Yeriko: 345;
37 wa miji ya Lodi, Hadidi na Ono: 721;
38 wa mji wa Senaa: 3,930.
39 Ifuatayo ni idadi ya makuhani waliorudi kutoka uhamishoni: Makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazawa wa Yeshua: 973;