38 wa mji wa Senaa: 3,930.
39 Ifuatayo ni idadi ya makuhani waliorudi kutoka uhamishoni: Makuhani wa ukoo wa Yedaya, waliokuwa wazawa wa Yeshua: 973;
40 wa ukoo wa Imeri: 1,052;
41 wa ukoo wa Pashuri: 1247;
42 wa ukoo wa Harimu: 1017.
43 Walawi wa ukoo wa Yeshua, yaani Kadmieli, wazawa wa Hodavia waliorudi kutoka uhamishoni walikuwa 74.
44 Waimbaji: Wazawa wa Asafu walikuwa 148.