45 Walinzi: Wazawa wa Shalumu, wa Ateri, wa Talmoni, wa Akubu, wa Hatita na wa Shobai, walikuwa 138.
46 Koo za wahudumu hekaluni waliorudi kutoka uhamishoni zilikuwa: Ukoo wa Ziha, wa Hasufa, wa Tabaothi;
47 wa Kerosi, wa Siaha, wa Padoni;
48 wa Lebana, wa Hagaba, wa Shalmai;
49 wa Hanani, wa Gideli, wa Gahari;
50 wa Reaya, wa Resini, wa Nekoda;
51 wa Gazamu, wa Uza, wa Pasea;