5 Ezra akasimama kwenye mimbari, mbele ya watu wote, nao wakawa wanamkazia macho yao kwa utulivu mkubwa. Mara tu Ezra alipokifungua kitabu cha sheria, watu wote wakasimama wima.
Kusoma sura kamili Nehemia 8
Mtazamo Nehemia 8:5 katika mazingira