Nehemia 9:1 BHN

1 Siku ya ishirini na nne ya mwezi huo wa saba, watu wa Israeli walikusanyika, wakifunga na kuvaa mavazi ya magunia na kujipaka udongo kichwani kuonesha majuto yao.

Kusoma sura kamili Nehemia 9

Mtazamo Nehemia 9:1 katika mazingira