11 Uliigawa bahari katikati mbele yao,nao wakapita katikati ya bahari,mahali pakavu.Lakini ukawatupa Wamisri waliowafuatiakama jiwe zito ndani ya maji mengi.
Kusoma sura kamili Nehemia 9
Mtazamo Nehemia 9:11 katika mazingira