35 Hawakukutumikia katika ufalme wao,wala walipoyafurahia mema yako mengi uliyowajalia kwa wingi,katika nchi kubwa na yenye rutuba uliyowapahawakuyaacha matendo yao maovu.
Kusoma sura kamili Nehemia 9
Mtazamo Nehemia 9:35 katika mazingira