Sefania 1:11 BHN

11 Lieni enyi wakazi wa Makteshi!Wafanyabiashara wote wameangamia,wote wapimao fedha wamefutiliwa mbali.

Kusoma sura kamili Sefania 1

Mtazamo Sefania 1:11 katika mazingira