Sefania 1:12 BHN

12 Wakati huo nitaupekua mji wa Yerusalemu kwa taa,nitawaadhibu wanaoishi wametulia kama machicha ya divai,wote ambao husema mioyoni mwao:‘Mwenyezi-Mungu hatafanya kitu: Chema au kibaya.’

Kusoma sura kamili Sefania 1

Mtazamo Sefania 1:12 katika mazingira