5 Lakini Mwenyezi-Mungu aliye mjini humo ni mwadilifu,yeye hatendi jambo lolote baya.Kila siku asubuhi hudhihirisha kauli yake,naam, kila kunapopambazuka huitekeleza.Lakini wahalifu hawana aibu hata kidogo.
Kusoma sura kamili Sefania 3
Mtazamo Sefania 3:5 katika mazingira