6 Mwenyezi-Mungu asema:“Nimeyafutilia mbali mataifa;kuta zao za kujikinga ni magofu.Barabara zao nimeziharibu,na hamna apitaye humo.Miji yao imekuwa mitupu,bila watu, na bila wakazi.
Kusoma sura kamili Sefania 3
Mtazamo Sefania 3:6 katika mazingira