Waamuzi 1:10 BHN

10 Waliwashambulia pia Wakanaani walioishi katika mji wa Hebroni ambao hapo awali uliitwa Kiriath-arba, wakashinda makabila ya Sheshai, Himani na Talmai.

Kusoma sura kamili Waamuzi 1

Mtazamo Waamuzi 1:10 katika mazingira