Waamuzi 1:16 BHN

16 Wazawa wa Keni ambaye alikuwa baba mkwe wa Mose, walifuatana na watu wa kabila la Yuda kutoka Mji wa Mitende yaani mji wa Yeriko, mpaka jangwa la Yuda karibu na Aradi, wakafanya makao yao huko pamoja na watu wa Yuda.

Kusoma sura kamili Waamuzi 1

Mtazamo Waamuzi 1:16 katika mazingira