Waamuzi 1:27 BHN

27 Watu wa kabila la Manase hawakuwafukuza wakazi wa miji ya Beth-sheani na vijiji vyake, Taanaki na vijiji vyake, Dori na vijiji vyake, Ibleamu na vijiji vyake, na Megido pamoja na vijiji vyake. Wakanaani waliendelea kukaa huko.

Kusoma sura kamili Waamuzi 1

Mtazamo Waamuzi 1:27 katika mazingira