Waamuzi 1:33 BHN

33 Watu wa kabila la Naftali hawakuwafukuza wakazi wa mji wa Beth-shemeshi au wakazi wa Beth-anathi, lakini walikaa pamoja nao. Hata hivyo wenyeji wa miji hiyo, walilazimishwa kuwafanyia Waisraeli kazi za kulazimishwa.

Kusoma sura kamili Waamuzi 1

Mtazamo Waamuzi 1:33 katika mazingira