18 Waisraeli na viongozi wao wakaulizana, “Ni nani atakayeanza kupigana na Waamoni? Atakayefanya hivyo ndiye atakayekuwa kiongozi wa wakazi wote wa Gileadi.”
Kusoma sura kamili Waamuzi 10
Mtazamo Waamuzi 10:18 katika mazingira