9 Waamoni nao walivuka mto Yordani kupigana na makabila ya Yuda, Benyamini na Efraimu. Nao Waisraeli wakapata taabu sana.
Kusoma sura kamili Waamuzi 10
Mtazamo Waamuzi 10:9 katika mazingira