Waamuzi 11:21 BHN

21 Naye Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Israeli, akamtia Sihoni pamoja na watu wake mikononi mwa Waisraeli, wakawashinda. Hivyo Waisraeli wakachukua nchi yote ya Waamori ambao walikuwa wanaishi huko.

Kusoma sura kamili Waamuzi 11

Mtazamo Waamuzi 11:21 katika mazingira