Waamuzi 11:25 BHN

25 Je, unadhani wewe una nguvu kuliko Balaki mwana wa Zipora aliyekuwa mfalme wa Moabu? Yeye hakushindana na Waisraeli au kupigana nao.

Kusoma sura kamili Waamuzi 11

Mtazamo Waamuzi 11:25 katika mazingira