3 Basi, Yeftha akawakimbia ndugu zake akaenda kuishi katika nchi ya Tobu. Huko watu ovyo wakakusanyika kujiunga naye, wakamfuata katika safari zake za mashambulio.
Kusoma sura kamili Waamuzi 11
Mtazamo Waamuzi 11:3 katika mazingira