Waamuzi 12:3 BHN

3 Nilipoona kwamba hamkuja kuniokoa, nilikwenda, roho mkononi, kupigana na Waamoni, naye Mwenyezi-Mungu akawatia mikononi mwangu. Kwa nini sasa mnakuja kupigana na mimi?”

Kusoma sura kamili Waamuzi 12

Mtazamo Waamuzi 12:3 katika mazingira