Waamuzi 12:5 BHN

5 Kisha watu wakavishika vivuko vya mto Yordani ili kuiziba njia ya watu wa Efraimu. Kila mara alipotokea mkimbizi akaomba kupita huko, watu wa Gileadi walimwuliza, “Je, wewe ni Mwefraimu?” Na kama alijibu, “La,”

Kusoma sura kamili Waamuzi 12

Mtazamo Waamuzi 12:5 katika mazingira