Waamuzi 12:9 BHN

9 Yeye alikuwa na watoto wa kiume thelathini na wa kike thelathini. Nao binti zake thelathini aliwaoza nje ya ukoo wake, na wana aliwaoza wasichana thelathini kutoka nje ya ukoo wake. Ibzani alikuwa mwamuzi wa Israeli kwa miaka saba.

Kusoma sura kamili Waamuzi 12

Mtazamo Waamuzi 12:9 katika mazingira