24 Kisha mkewe Manoa akajifungua mtoto wa kiume, naye Manoa akampa jina Samsoni. Mtoto huyo akakua naye Mwenyezi-Mungu akambariki.
Kusoma sura kamili Waamuzi 13
Mtazamo Waamuzi 13:24 katika mazingira