Waamuzi 14:12 BHN

12 Samsoni akawaambia, “Nitatega kitendawili. Kama mkiweza kutegua kitendawili hicho kwa muda wa siku saba za sherehe za harusi, basi, nitawapa mavazi thelathini ya kitani na mavazi thelathini ya sikukuu.

Kusoma sura kamili Waamuzi 14

Mtazamo Waamuzi 14:12 katika mazingira