Waamuzi 14:17 BHN

17 Lakini aliendelea kulia katika muda wao wote wa siku saba za sherehe za harusi. Siku ya saba Samsoni akamwambia mkewe kile kitendawili kwani alimbana sana. Mkewe akaenda haraka akawaambia watu wake.

Kusoma sura kamili Waamuzi 14

Mtazamo Waamuzi 14:17 katika mazingira