Waamuzi 14:2 BHN

2 Aliporudi nyumbani akawaambia wazazi wake, “Nimemwona msichana mmoja Mfilisti huko Timna. Niozeni msichana huyo.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 14

Mtazamo Waamuzi 14:2 katika mazingira