Waamuzi 14:6 BHN

6 Basi, roho ya Mwenyezi-Mungu ikamwingia Samsoni kwa nguvu, akamrarua simba huyo kama mtu araruavyo mwanambuzi. Naye Samsoni hakuwaambia wazazi wake kisa hicho.

Kusoma sura kamili Waamuzi 14

Mtazamo Waamuzi 14:6 katika mazingira