Waamuzi 14:9 BHN

9 Basi, akapakua asali kwa mikono yake akawa anakula huku akiendelea na safari yake. Aliporudi kwa wazazi wake, akawapa asali kidogo nao wakala. Lakini hakuwaambia kwamba alitoa asali hiyo ndani ya mzoga wa simba.

Kusoma sura kamili Waamuzi 14

Mtazamo Waamuzi 14:9 katika mazingira