13 Nao wakamwambia, “Sisi hatutakuua ila tutakufunga tu na kukutia mikononi mwao.” Basi, wakamfunga kwa kamba mbili mpya na kumtoa humo pangoni.
Kusoma sura kamili Waamuzi 15
Mtazamo Waamuzi 15:13 katika mazingira