19 Mungu akafungua mahali palipokuwa na shimo huko Leki, akatiririsha maji. Samsoni akanywa maji hayo na nguvu zake zikamrudia. Chemchemi hiyo ikaitwa En-hakore; nayo iko huko Lehi mpaka leo.
Kusoma sura kamili Waamuzi 15
Mtazamo Waamuzi 15:19 katika mazingira