Waamuzi 16:21 BHN

21 Wafilisti walimkamata, wakamngoa macho, wakampeleka Gaza, wakamfunga kwa pingu za shaba, na kumlazimisha kufanya kazi ya kusaga unga huko gerezani.

Kusoma sura kamili Waamuzi 16

Mtazamo Waamuzi 16:21 katika mazingira