Waamuzi 17:10 BHN

10 Mika akamwambia, “Kaa pamoja nami, uwe kwangu kama baba na kuhani wangu. Nitakulipa vipande kumi vya fedha kila mwaka na mavazi pamoja na mahitaji yako.”

Kusoma sura kamili Waamuzi 17

Mtazamo Waamuzi 17:10 katika mazingira