Waamuzi 19:10 BHN

10 Lakini huyo mtu alikataa kulala huko usiku huo. Basi, akainuka, akaondoka akafika karibu na mji wa Yebusi (yaani Yerusalemu). Alikuwa na wale punda wake wawili waliotandikwa tayari, pamoja na suria wake.

Kusoma sura kamili Waamuzi 19

Mtazamo Waamuzi 19:10 katika mazingira