Waamuzi 19:27 BHN

27 Bwana wa mwanamke huyo alipoamka asubuhi, alifungua milango ya nyumba, akatoka nje ili aendelee na safari. Ghafla akamkuta suria wake amelala chini mlangoni, mikono yake ikishika kizingiti cha mlango.

Kusoma sura kamili Waamuzi 19

Mtazamo Waamuzi 19:27 katika mazingira