Waamuzi 2:15 BHN

15 Kila walipokwenda kupigana, mkono wa Mwenyezi-Mungu uliwakabili kuwaletea balaa, kama alivyokuwa amewaonya na kuapa. Nao wakawa katika huzuni kubwa.

Kusoma sura kamili Waamuzi 2

Mtazamo Waamuzi 2:15 katika mazingira