1 Watu wote wa Israeli, kutoka Dani hadi Beer-sheba, pamoja na watu wa nchi ya Gileadi, jumuiya nzima, walikusanyika huko Mizpa, mbele ya Mwenyezi-Mungu.
Kusoma sura kamili Waamuzi 20
Mtazamo Waamuzi 20:1 katika mazingira