Waamuzi 20:30 BHN

30 Waisraeli wakaenda kupigana na watu wa kabila la Benyamini katika siku ya tatu. Wakajipanga dhidi ya mji wa Gibea kama walivyofanya nyakati za hapo awali.

Kusoma sura kamili Waamuzi 20

Mtazamo Waamuzi 20:30 katika mazingira