Waamuzi 20:47 BHN

47 Lakini wanaume 600 wa kabila la Benyamini walifaulu kukimbilia jangwani hadi kwenye mwamba wa Rimoni, wakakaa huko kwa muda wa miezi minne.

Kusoma sura kamili Waamuzi 20

Mtazamo Waamuzi 20:47 katika mazingira