Waamuzi 21:21 BHN

21 Muwe macho. Wasichana wa Shilo watakapotoka nje kucheza wakati wa sikukuu, tokeni kwenye mizabibu na kila mtu ajinyakulie msichana mmoja awe mkewe. Kisha mrudi katika nchi ya Benyamini.

Kusoma sura kamili Waamuzi 21

Mtazamo Waamuzi 21:21 katika mazingira