Waamuzi 3:16 BHN

16 Ehudi akajitengenezea upanga wenye makali kuwili; urefu wake sentimita hamsini. Akaufunga kiunoni mwake upande wa kulia ndani ya mavazi yake.

Kusoma sura kamili Waamuzi 3

Mtazamo Waamuzi 3:16 katika mazingira