31 Baada ya Ehudi mwana wa Anati, Shamgari alishika nafasi yake. Yeye aliwaua Wafilisti 600 kwa fimbo ya kuchungia ng'ombe. Naye pia aliwakomboa Waisraeli.
Kusoma sura kamili Waamuzi 3
Mtazamo Waamuzi 3:31 katika mazingira