Waamuzi 4:2 BHN

2 Mwenyezi-Mungu akawatia mikononi mwa Yabini, mfalme wa Kanaani, ambaye aliishi huko Hazori. Kamanda wa jeshi lake alikuwa Sisera, mwenyeji wa Harosheth-hagoimu.

Kusoma sura kamili Waamuzi 4

Mtazamo Waamuzi 4:2 katika mazingira