Waamuzi 4:5 BHN

5 Debora alikuwa na mazoea ya kuketi chini ya mtende uliokuwa kati ya mji wa Rama na mji wa Betheli katika nchi ya milima ya Efraimu. Watu wa Israeli walimjia ili awaamulie mashauri yao.

Kusoma sura kamili Waamuzi 4

Mtazamo Waamuzi 4:5 katika mazingira