14 Kutoka Efraimu waliteremka bondeni,wakafuata ndugu zao watu wa Benyamini;kutoka Makiri walishuka makamanda,kutoka Zebuluni maofisa wakuu.
Kusoma sura kamili Waamuzi 5
Mtazamo Waamuzi 5:14 katika mazingira