Waamuzi 5:17 BHN

17 Kabila la Gileadi lilibaki ngambo ya Yordani.Kabila la Dani, kwa nini mlibaki merikebuni?Kabila la Asheri lilitulia huko pwani ya bahari,lilikaa bandarini mwake.

Kusoma sura kamili Waamuzi 5

Mtazamo Waamuzi 5:17 katika mazingira